Exodus 21:12-14

Majeraha Ya Mwilini

12 a“Yeyote ampigaye mtu na kumuua ni lazima auawe hakika. 13 bHata hivyo, kama hakumuua kwa makusudi, lakini Mungu akaruhusu itendeke, basi atakimbilia mahali nitakapomchagulia. 14 cLakini kama mtu akipanga na kumuua mwingine kwa makusudi, mwondoe katika madhabahu yangu na kumuua.

Copyright information for SwhNEN